Tuesday, April 16, 2013

ZITTO KABWE: KUWENI MAKINI NA MATAPELI SIHUSIKI NA MFUKO WA MKOPO



 Dakika 35 zilizopita,Mh Zitto Kabwe ametangaza kutokuhusika na mkopo unaotangazwa kupitia mtandao http://www.zittokabwe-foundation.wapka.mobi, ambapo licha ya kutoa background ya mfuko huo, wadhamini kuonyesha kama ni halali pamoja na picha za Zitto, pia kuna sehem ambayo inamtaka mtu ajaze form kwa ajili ya kupata mkopo. Kupitia kwenye mtandao wa kijamii, Zitto amekanusha kuhusika na mfuko huo wa mkopo na kuwaomba watu wawe...Read More

0 comments:

Post a Comment