Thursday, April 11, 2013

Mzozo kuhusu makampuni ya Mandela

Wanawe wameamua kuchukua hatua za kisheria kuwaondoa wasaidizi wake watatu kutoka katika makampuni anayoyamiliki.
Malawi imemtuhumu muimbaji wa Marekani Madonna kwa kuwaonea maafisa wa serikali baada ya kulalamika kuhusu alivyopokelewa nchini humo.
Wiki jana Rais Goodluck Jonathan, aliuomba mkutano wa maafisa wakuu wa usalama kutafakari swala la kuwapa msamaha wapiganaji hao

0 comments:

Post a Comment