Tuesday, April 2, 2013

ZITTO AKANUSHA KICHWA CHA HABARI CHA GAZETI LA LEO "SIRI YA KUUAWA ZITTO YAFICHUKA" NA KUDAI SIO KWELI


"SIRI YA KUUAWA ZITTO’ Katika gazeti la Mtanzania toleo na. 7269 la Jumatano Machi 27, 2013 kuna habari yenye kichwa chenye maneno ‘ SIRI YA KUUAWA ZITTO YAFICHUKA’ na vichwa vidogo ‘yadaiwa ilipangwa anyweshwe sumu hotelini’ dk. Slaa atajwa kumtuma Saanane kummaliza’. Habari hii imeniletea usumbufu mkubwa kwani ndugu, jamaa, marafiki na wapiga kura wangu, wamejazwa na wasiwasi mkubwa sana kwamba ninaweza kuuwawa....Read More

0 comments:

Post a Comment