Saturday, April 20, 2013

meza ya magazeti leo jumamosi


travelmadrid-spain 1024x768 b20a5
Watu wengi zaidi wamejiandikisha kushiriki kwenye marathon ya Madrid, Uspania, ya Jumapili ya mwisho wa Aprili baada ya shambulio la bomu kwenye marathon ya Boston siku ya Jumatatu
Waandalizi wa mbio hizo wanasema watu waliojiandikisha ilizidi mara nne baada ya shambulio la Boston.
Mkuu wa kamati ya Olimpiki ya Uspania ambayo inajitayarisha kuomba kuandaa Olimpiki ya mwaka wa 2020, alisema wanaoshiriki kwenye marathon wakiongezeka ndio sifa kubwa ambayo watu wa Madrid wanaweza kuupa mji wa Boston.
Chanzo :BBC

 

Presenting report for Africa, Middle East & Persin Gulf
NA: ONESMO NGOWI
Shirikishoi la Ngumi la Kimataifa (IBF) limeteua refarii na majaji wa pambano la kutetea ubingwa wa Afrika kati ya anayeushukilia ubingwa huo Francis Cheka wa Tanzania na mpinzani wake Thomas Mashali ambaye ni bingwa wa uzito wa Middle ukanda wa Afrika ya Mashariki na Kati (ECAPBA) Refarii wa mpambano huo wa kukata na
Read more...

AWEP TANZANIA YAZINDULIWA RASMI JANA, JIJINI DAR ES SALAAM




 African Women Entreprenuership Programme (AWEP) Tanzania Chapter imezinduliwa rasmi jioni hii katika hoteli ya Double Tree,mgeni rasmi akiwa ni Waziri wa Viwanda na Biashara ,Abdallah Kigoda ,pamoja na Balozi wa Marekani nchini  Alfonso Lenhardt
Hii ni Ngao iliyobidhiwa rasmi na Sylvia Banda  ambaye ni balozi na mwenyekiti wa AWEP Zambia ,kudhihirisha kuwa AWEP Tanzania imezinduliwa rasmi kwa kuikabidhi kwa Mgeni rasmi wa Waziri wa Viwanda na Biashara ,Abdallah Kigoda na Balozi wa Marekani nchini ,Alfonso Lenhardt
Read more...

0 comments:

Post a Comment