Monday, May 6, 2013

KIINGEREZA CHAMUUMBUA DIAMOND...MASHABIKI WAMPA MAKAVU




Katika pitapita  instagram kuna picha ya msanii Diamond Platnumz alipost (hiyo hapo juu), na hapo wakatokea watu kukosoa kingereza alichotumia huku wengine wakionekana kutetea. JAMANI ENGLISH si Lugha yetu jamani. angalia hapa chini




1 comments:

  1. Hao wanaokosoa twitter english ya @DiamondPlatnumz inaonekana wamevamia tu hizo social media. Ktk social media ni sawa kabisa ukiandika english ambayo sio grammar hata kidogo (their: instead of "they are", wat: instead of "what"). I mean, spoken english is put into social media writing.

    ReplyDelete