Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya
Kikwete akiingia uwanjani katika gari maalum huku akisindikizwa na Mkuu
wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiingia uwanja wa Uhuru jijini Dar
es salaam leo kuongoza Watanzania kusherehekea miaka 49 ya Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Pamoja
naye kwenye gari hilo la wazi ni Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davis
Mwamunyange

Nyomi si ya kawaida hata pa kutema mate hakuna

Msafara wa Rais Kikwete ukizunguka uwanja wa Uhuru

Nyomi ya leo. Taswira zingine na kumwaga baadaye.
0 comments:
Post a Comment