
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Wilfred Lwakatare.
MAHAKAMA ya Rufaa nchini leo
inatarajia kutoa uamuzi rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka
(DPP), Dk. Eliezer Feleshi, dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa
wa Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi, Abdallah Zombe, wa kuifuta au
kutoifuta rufaa iliyokatwa na DPP baada ya jicho la mahakama kuona hati
ya kukatia rufaa...