
Baada
ya taarifa kuenea kuhusu uwepo wa msanii Dogo Janja nchini Afrika
Kusini kwa show alizopata zilizofanyika ndani ya wiki tatu, Uongozi wa
shule anayosoma ya Makongo Sekondari, umetoa taarifa kuhusu mwenendo
wake pamoja na matokeo aliyopata ya kidato cha pili.
Michael
Alfred Mbaula ambae ni Afisa taaluma amesema “mahudhurio ya Dogo Janja
darasani yalikua mazuri na alikua anashirikiana vizuri na wenzake
kipindi...